Wednesday, 9 November 2011

Nimerudi Tena..............Nikaribisheni


Nimeamua kuanza kublogua tena baada ya wahuni kuwa wamehack account yangu ya blog yangu ya "Familia Kwanza" http://lulukivulini.blogspot.com/ nilikaa kwa muda bila kujua nifanye nini maana google wameshindwa kunirudishia account yangu na yahoo wameshindwa kuproove kuwa mimi ndio mmiliki halali wa ile account. Ukweli ni kwamba NILISUSA (na ninavyopenda kususa sasa).
            Baby Gal Lily

Majuzi mdogo wangu mpendwa my baby sis Lily she convinced me to start blogging, akanipa moyo kuwa anaona kuna vitu napost na watu wanapenda kuvifuatilia kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni bora nikianza kublog ili watu waweze kufollow kwa blog. So here I am, blogging and ofcourse i like blogging. Thank you Lilian!!!




No comments:

Post a Comment