Friday, 25 May 2012

Maswali 10 Kabla ya Kuanza Ujasiriamali

  1. Je nina mtaji?
  2. Je nina muda?
  3. Je nina ujuzi ?
  4. Je nina masoko?
  5. Je biashara nitakayofanya itakuwa na faida?
  6. Je biashara hiyo itanitoa ngazi moja kwenda ngazi ingine
  7. Je biashara hiyo itaniwezesha kuweka akiba?
  8. Je biashara yangu itaniwezesha kutimiza malengo yangu?
  9. Je nitaweza kutunza fedha nyingi kwa mara moja?
  10. Je nitaweza kuweka kumbukumbu ya biashara yangu?
Hii nimeipata kutoka kwa mama mmoja yeye ni mtoa mada kwenye kitchen party lakini  pia ni mwalimu wa ujasiriamali na uchumi. Nitaleta mambo zaidi toka kwake

2 comments:

  1. Happy to see doing your best,i have a blog,hope we can share and exchange views and viewers,visit
    http://pongujoseph.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. Felice inizio settimana a te...ciao

    ReplyDelete