Monday, 7 October 2013

Matamanio Matamanio Matamanio!!!!


Kila mtu huwa ana matamanio, unatamani kumiliki gari Fulani, nyumba Fulani, nguo Fulani, simu Fulani au unatamani kuishi maisha Fulani. Siyo mbaya kuwa na matamanio (bora yasiwe mabaya tu)
Hapa nitajaribu kuonyesha matamanio yangu ya kila siku, huwa natamani vitu Fulani na kila siku nasema ipo siku nitamiliki au kufanya hivi, siyo mbaya nikaviweka kwenye mtandao ili siku nikiwa na fursa ya kuvipata basi iwe rahisi kukumbuka MATAMANIO YANGU!!!!

No comments:

Post a Comment