Tuesday 12 November 2013

Hair Day

Ok........ so leo tunatengeneza nywele za mrembo wetu Valencia

 Tulianza kwa kuosha na shampoo na conditioner then we blow dried them tukaweka mafuta

 We are doing twisting with rubberband
 Tulianza kwa kutenganisha nywele kwa mistari niliyokuwa nataka then nikawa nazifunga na rubber bands halafu ndio kutwist

 Ilituchukua kama 30 to 40 minutes tukawa tayari
 Tukaweka pozi la picha heee heeee!!!!

No comments:

Post a Comment