Sikuwa na camera kwa siku kama mbili hivi mwenywe nguvu aliichukua akaificha.
Haya; jana breakfast yangu ilikuwa ni rozella tea nikaweka na asali kidogo maana niliacha ikawa kali sana so i had to add something to sweeten it nilishushia na Digestive biscuits
No comments:
Post a Comment