Thursday, 10 November 2011

Kwani vipi?

Katika hangaika yangu ya kutafuta kitu cha kula nikaona bora nitafute nyanya na matango nile, nikakutana na hii nyanya

No comments:

Post a Comment