Mahitaji yake
- Asali
- Olive Oil
- Carrot
- Limao
- Pamba
- Face Towel
Carrot yake akaikwangua
Kila kitu tayari anataka kuingia kibaruani sasa
Kaanza kwa kunisafisha na maji ya limao eti yeye anasema anaua vijidudu vyote
Kazi inaendelea na mdogo wake naye anachukua ujuzi hapo so next time atanifanyia yeye
Very busy (kama kweli vile) kaanza kuweka carrots anasema ni "carrotein scrub"
I hope haitanifanya kama wale wanaonunua carolite haaa haaaa!!!
Nimeanza kuwa wa rangi ya carrot eeh???
Kaanza kunifuta hiyo carrotein scrub yake
Ikafuata awamu ya asali (natural honey)
Mwenyewe kaniambia eti asali it helps in healing eti ndio maana mtu akiungua anapaka asali (duh!!)
Akaona ile aliyopaka haitoshi akaanza kumwagia kwa wingi ili nipone haraka hizo alama za kifuani
Relaxing for 10 - 15 minutes na yeye pia akalala
Akahamia miguuni
Apricot Scrub
Nilipata scrub ya nguvu kwa kweli dah!!
Mguu wa pili halafu anajitia busy kweli
Maji ya moto moto yenye chumvi, olive oil na asali kidogo (huu mchanganyiko sina uhakika nao)
Hee mtoto alidhamiria bwana alinisafishwa ukweli nikataka
Sugu sugu mpaka nikang'aa!!!
Yale maji yenye ingredients nyingi nadhani ndio yalinifanya nikang'aa zaidi
Massage ya asali ushawahi kufanyiwa???
Mpaka kwenye nyayo ni asali tu!!
Mwenyewe asema kama kuna dead skin au cracked basi ndio mwisho kwa massage hiyo ya asali
Akaitafuta Base coat
Top coat ipo wapi?
Dryer ili ikauke haraka
Rangi aliyoichagua sasa ndio hiyo
Kucha za mikono nazo hazikuachwa
Miguu inarembeshwa mwaya
Kama hujagundua alinitelekeza akaenda kujipa raha na yeye aliporudi kichwa kilikuwa kimekuwa alivyokuwa anataka kifananie this holiday haaa haaaa
Busy kweli kweli ananipaka rangi mwenyewe nami nimebweteka tu
Mikono ishapendeza
Miguu nayo? Imependeza
Akaona amalizie kwa kunimwagia olive oil
Na massage ingine ya "olive oil"
Thanks to Tansoma Hotel, yes huwa nachukua viatu nikiwekewa kwa room huko mahotelini
Hatimaye nikapiga mdundo wangu huyo tayari kwa safari yetu ya familia
The girl herself
She likes to be called Ezzie
Ezzie
The family... its not a color code family jamani it was just a coincidence huh!!
nimeipenda hii, nitaijaribu, unafanya mara ngapi kwa wiki?
ReplyDelete