Friday, 3 February 2012

ViVa Star

Hapa patakuwa na matukio yanoyowahusu watoto wangu watatu Vicent, Valencia na Esther (A star)  ViVaStar Kids. Lakini pia kutakuwa na yanayohusu matukio ya watoto wote duniani na malezi kwa ujumla. Karibuni wote.

No comments:

Post a Comment