Wednesday, 9 May 2012

Mambo 8 Usiyoyajua Kuhusu Mimi


  1. Ninalia sana nikiudhiwa, am not as tough as I look or act, nikishalia huwa napata ahueni rohoni
  2. I'm shy, nina aibu kiasi kwamba hata nikiwa na wageni wengi nyumbani kwangu nasikia aibu kusimama mbele yao na kuongea .
  3. I pray before cooking....thats how I learnt how to cook most dishes, nasali mapishi yasiharibike nikapata aibu
  4. I cant ride a biycle. Niliendesha nikiwa mtoto nilipoanguka sikurudia tena
  5. I'm a hopeless romantic, nikipenda napenda kichwa kichwa nikiumizwa naumia mara dufu
  6. I do a LOT of freaky things (sorry I wont mention!...and u can never guess it right poleeeee!!!!!!)
  7. Napenda watoto, isingekuwa hali ngumu ya uchumi ningezaa kila baada ya miaka 2
  8. If I can bribe my way into heaven, I would! I desperately want to see this God after I'm done playing out this script here ( thats in abt 70 yrs time si unajua siku za mwanadamu si nyingi?)


 
 
 

1 comment:

  1. Hhaaaahaa.sasa nimekujua what kind of a person you are?nilikua sikufahamu.

    ReplyDelete