Kuna mengi sana yametokea na kuendelea kwenye maisha yangu kwenye kipindi nilichopotea, but all is well na Mungu ni mkubwa nipo naendelea na maisha
Hizi ni baadhi ya picha zangu ambazo zinaashiria kuwa kuna mambo yameendelea juu yangu. Umri umeongezeka, Kilo zimepungua, ngozi imepata rabsha pia kiasi Fulani nimekomaa kiakili zaidi lol!!
Kazi ni ile ile kwa miaka zaidi ya 10 sasa, nimeanza kuwa mkongwe kazini
Umri nao umeenda, nimekutana na mambo mengi makubwa, magumu na ya kushangaza sana but hey.... Mungu ndiye anayenitangulia
Social life inaendelea kama kawaida japo socialization zenyewe zinachukua sura tofauti kulingana na umri wenyewe.
Beautiful Grown!!!
No comments:
Post a Comment