Friday, 4 October 2013

Twende Pamoko

Haya haya tena, nimeanza tena lile jaribio la kupunguza kauzito kasikohitajika mwilini, aka "uzee mwisho Chalinze"

Nilisimamisha huu mpango baada ya kupata shida kidogo kwenye halmashauri yangu yangu. Ila kwa sasa nimerudi toka tarehe 1 October na haya ndiyo yamekuwa maisha yangu kwa siku 4 hizi

Matunda, samaki na kuku wa kuchemsha na maji ya moto ndio mpango mzima


No comments:

Post a Comment