Wednesday, 18 May 2011

Viatu Tuvivue Wapendwa

Huu mwimbo uliimbwa ukaimbika na huwa unanigusa sana sijui wenzangu kama mwaguswa kiasi hicho.
Mbarikiwe sana marafiki.

Rse na Annastazia nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape nguvu ya kuendelea kumtukuza yeye.

No comments:

Post a Comment